Raia wa Marekani watarajiwa kupiga kura kumchagua rais wa 47 atakayemrithi Joe Biden

  • | Citizen TV
    2,310 views

    Raia wa Marekani wanatarajiwa kupiga kura leo kumchagua rais wa 47 atakayemrithi Joe Biden. Uchaguzi huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkali kati ya Makamu wa Rais Kamala Harris ambaye ni mgombea wa chama cha Democratic na Donald Trump ambaye mgombea wa chama cha Republican. Tayari zaidi ya watu milioni 81 wamepiga kura ya mapema huku Matokeo kutoka majimbo 52 yakitarajiwa kuwasilishwa baada ya upigaji kura kukamilika baadaye leo. Annabel Obala anatuarifu zaidi.