Wagonjwa waendelea kulalamika kuhusu mpango wa SHA

  • | KBC Video
    20 views

    Wagonjwa kadhaa walio na magonjwa yasiyoambukizwa wameshindwa kupata huduma muhimu za matibabu baada ya halmashauri ya afya ya jamii, SHA, kusitisha huduma zake katika hospitali za kigeni. Wagonjwa tuliozungumza nao jijini Nairobi walisema kucheleweshwa kwa malipo na utendakazi duni kumewasababishia changamoto chungu nzima huku wakishindwa kupata huduma zifaazo. Wakati haya yakijiri wizara ya afya imesema serikali itafanya utathmini kote nchini kukadiria utendakazi wa taasisi zinazotoa huduma chini ya mpango wa SHA.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive