- 434 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Waafrika watoa maoni yao kuhusu wagombea urais wa Marekani | VOA Swahili
- - 'Ushairi unalipa' ››
- - MITINDO YA KIPWANI ››
- 24 Nov 2024 - Nandi Senator Samson Cherargei has given his Busia counterpart Okiya Omtatah a tip on running a successful presidential campaign, one that will require him to break the bank.
- 24 Nov 2024 - US President Joe Biden praised the COP29 deal Saturday as a "significant step" to fighting global warming, and pledged continued action by America despite his incoming successor Donald Trump's climate skepticism.
- 24 Nov 2024 - Squeezing rubber-covered robotic prosthetic hands, Bangladesh protesters wounded during the deadly revolution to topple autocratic leader Sheikh Hasina test out replacement arms for their lost limbs.
- 24 Nov 2024 - At least nine people, including seven children from one family, died in the eastern Democratic Republic of Congo after heavy rain triggered a landslide that swept away several homes late on Friday, a local official said.
- 24 Nov 2024 - As nerves frayed and the clock ticked, negotiators from rich and poor nations were huddled in one room Saturday during overtime United Nations climate talks to try to hash out an elusive deal on money for developing countries to curb and adapt to…
- 24 Nov 2024 - More than 14 million people have been registered under the new Social Health Authority.
- 24 Nov 2024 - This advice comes a few hours after Omtatah named his Presidential Exploratory Committee.
- 24 Nov 2024 - Israeli military strikes across the Gaza Strip have killed at least 120 Palestinians over the last 48 hours and hit a hospital on the northern edge of the enclave, wounding medical staff and damaging equipment, Palestinian medics said on Saturday.
- 24 Nov 2024 - Controversial Adani deals expose impotence of MPs
- 24 Nov 2024 - Pension industry seeks to flex its muscle in large State projects