Serikali ya kaunti ya Lamu yaanzisha huduma za kusafisha figo katika hospitali ya Mpeketoni

  • | Citizen TV
    112 views

    Ni afueni kubwa kwa wagonjwa wa figo wa eneo la Mpeketoni kaunti ya Lamu baada ya serikali ya kuanzisha huduma za kusafisha figo katika hospitali ya Mpeketoni. serikali ya kaunti ya Lamu imeeka mashini nne za kusafisha figo hospitali hiyo ili kuwapunguzia gharama za usafiri wagonjwa hao kusaka matibabu ya figo hospitali ya Rufaa ya King Fahad Kisiwani Amu.