Wahudumu wa afya ya jamii walilia mishahara ya miezi tisa

  • | K24 Video
    15 views

    Katika juhudi za kuhakikisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wote , wahudumu wa afya ya jamii ambao ni nguzo muhimu katika sekta ya afya wanahisi kuwa matakwa yao yametelekezwa. Wengi wao wanalalamikia kutolipwa kwa zaidi ya miezi 9, na wengine kukosaa vifaa muhimu vya kuwawezesha kutekeleza kazi zao ipasavyo, baadhi ya changamoto kuu zinazowakumba wahudumu hao.