Wachimba madini Taita Taveta kupokea mafunzo

  • | KBC Video
    3 views

    Chuo kikuu cha Taita Taveta kimeandaa warsha ya mafunzo kwa wachimbaji madini kutoka kaunti za Kakamega na Vihiga ili kujenga nyenzo zao katika sekta ya uchimaji madini.Mafunzo hayo yanaangazia kanuni za usalam, jinsi ya kutumia vifa vya kiteknolojia katika uchimbaji madini, maslahi ya wachimbaji madini, utunzi na mazingira na jinsi ya kunufaika vilivyo kutokana na madini ya dhahabu. Msaidizi wa naibu wa chansela anayehusika na masuala ya masomo, mafunzo na mipango ya uhamasishaji chuoni Taita Taveta, Profesa Cristine Onyango amesema wachimbaji madini wengi hawana maarifa yanayohitajika na hivyo hujipata kwenye mikasa inayosababisha mauti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive