Mkuu wa polisi atetea uwajibikaji wa polisi nchini

  • | Citizen TV
    541 views

    Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja sasa anasema watu 57 ndio walioripotiwa kutekwa nyara ama kupotea wakati na baada ya maandamano yaliyoongozwa na vijana tangu mwezi juni mwaka huu. Akizungumza mbele ya kamati ya usalama ya bunge la taifa, kanja amesema maafisa wa polisi hawakuhusika kwa vyovyote kwa utekaji nyara huo