Inspekta Jenerali asema polisi hawakuhusika na utekaji nyara

  • | KBC Video
    241 views

    Inspekta Jenerali wa polisi, Douglas Kanja amekana madai ya kuhusika kwa polisi katika visa vya utekaji nyara vinavyoshuhudiwa nchini. Akiongea alipofika mbele ya kamati ya bunge kuhusu usalama, Kanja alisema kazi ya polisi ni kuwakamata washukiwa na wala sio utekaji nyara, akihimiza wanachi kutoa taarifa kuwahusu wahalifu wanaoendeleza uovu huo . Kanja amethibitisha kuwa visa 57 vya utekaji nyara vimeripotiwa kuanzia mwezi Juni hadi sasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive