Biashara I Kampuni ya Safaricom imenakili kupungua kwa faida kwa mara ya kwanza

  • | KBC Video
    47 views

    Kwa mara ya kwanza, kampuni ya Safaricom imenakili kupungua kwa faida katika kipindi cha miaka minne, hali iliyochangiwa na ongezeko la viwango vya mfumko wa bei nchini Ethiopia na kushuka kwa thamani ya sarafu ya taifa hilo ijulikanayo kama Birr. Faida ya kampuni ya Safaricom ilishuka kwa asilimia 17.7 hadi shilingi bilioni 28.1 huku ikitarajia kwamba tawi lake nchini Ethiopia litaanza kunakili faida ifikapo mwaka 2027. Kampuni hiyo haijatangaza mgao wa faida kwa wateja wake mwaka huu. Taarifa hii kwa kina ni kwenye kitengo cha biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive