Kaunti ya Busia iliandaa kambi ya huduma za matibabu bila malipo katika eneo la Roiko

  • | KBC Video
    7 views

    Serikali ya kaunti ya Busia kwa ushirikiano na shirika la kimataifa la lishe na hospitali yaMAU iliandaa kambi ya huduma za matibabu bila malipo katika eneo la Roiko kama sehemu ya maandalizi ya siku ya ugonjwa wa Pumu itakayoadhimishwa juma lijalo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News