Serikali inalenga kupanua wigo wa utozaji ushuru kwa kujumuisha sekta za kilimo na dijitali

  • | K24 Video
    182 views

    Serikali inalenga kupanua wigo wa utozaji ushuru kwa kujumuisha sekta za kilimo na dijitali kama mbinu ya kupunguza mzigo wa ushuru kwa wakenya na vilevile kupata pesa za kutosha kufadhili miradi yake mbali na kutegemea mikopo. kulingana na ripoti ya deni ya mwaka huu, deni la kenya ni trillioni 10.6 , na asilimia 60 ya mapato ya serikali yanatumika kulipa deni hilo. kulingana na katibu wa wizara ya fedha chris kiptoo, kuongeza idadi ya walipa ushuru kutapunguza utegemeaji wa mikopo kufadhili miradi ya serikali. david kagina ana maelezo zaidi.