NCCK yashinikiza serikali kutangaza ongezeko la maradhi yasioambukizanwa kama janga la kitaifa.

  • | K24 Video
    1 views

    Baraza la makanisa nchini, NCCK, sasa linaishinikiza serikali ya kitaifa kutangaza ongezeko la maradhi yasioambukizanwa kama janga la kitaifa. kulingana na baraza hilo, uamuzi huo utapelekea magonjwa hayo kuangaziwa kwa dharura na kutengewa fedha zaidi kwa ajili ya wakenya wengi kupata matibabu.