Koome ahimiza matumizi ya njia mbadala kutatua mizozo

  • | KBC Video
    12 views

    Jaji Mkuu Martha Koome ametoa wito kwa jamii ya MAA kukumbatia njia mbadala za kutatua mizozo hasa kesi za ardhi zilizokithiri katika eneo hilo. Jaji mkuu Koome alisema hayo alipofungua mahakama ya kushughulikia kesi za mazingira na ardhi mjini Kilgoris. Alitaja mpango mbadala wa kutatua mizozo kuwa suluhisho kwa changamoto nyingi zinazokabili jamii. Wazee wa jamii hiyo walihimizwa kuwa mstari wa mbele katika kutatua kesi hizo, kwa kutumia hekima na maarifa yao kuhusu yale yanayoendelea katika jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive