Serikali yatakiwa kutoa shilingi bilioni 4.3 ili kukomesha mgomo wa wahadhiri

  • | KBC Video
    25 views

    Kamati ya elimu katika bunge la kitaifa sasa inaitaka wizara ya fedha kutoa takriban shilingi bilioni 4.3 zinazohitajika kusuluhisha mgomo wa wahadhiri. Wabunge hao waliandaa kikao na chama cha wahadhiri na baraza la ushauri la vyuo vikuu vya umma ambapo ilibainika kuwa wizara hiyo bado haijawajibika kutekeleza kikamilifu mkataba wa makubaliano.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive