Halmashauri ya mawasiliano yadaiwa kuingilia majukumu ya MCK

  • | KBC Video
    8 views

    Mahakama kuu imeagiza halmashauri ya mawasiliano kutoingilia vipindi vya runinga kwa kigezo cha kudhibiti maudhui. Jaji Lawrence Mugambi alitaja kanuni za utangazaji jinsi zilivyoratibishwa na halmashauri ya mawasiliano kuwa kinyume cha sheria. Chama cha wanahabari humu chini kiliwasilisha rufaa dhidi ya mwanasheria mkuu na halmashauri hiyo kwa madai ya kuingilia uhuru wa vyombo vya habari kupitia kanuni hizo. Na jinsi Ruth Wamboi anavyotuarifu, jaji Mugambi amesema jukumu la udhibiti wa maudhui ya vyombo vya habari limetwikwa baraza la vyombo vya habari pekee.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive