Wabunge wapinga kesi ya udhibiti ya wa kodi ya barabara shilingi bilioni 10.5

  • | K24 Video
    105 views

    Siasa zinazozunguka udhibiti wa mfuko wa kodi ya matengenezo ya barabara wa shilingi bilioni 10.5 kati ya wabunge na magavana zimeendelea kuzuia mazungumzo ya kutatua mzozo kuhusu mgao wa mapato kwa kaunti kutoka kwa serikali ya kitaifa. Wabunge wanapendekeza kupunguza mgao wa mapato kutoka shilingi bilioni 400 hadi bilioni 380 ili kukabiliana na pendekezo la baraza la magavana la kuchukua kodi ya matengenezo ya barabara kutoka kwa udhibiti wa wabunge. NA