- 487 viewsRais Joe Biden Alhamisi aliwasihi Wamarekani kukubali matokeo ya uchaguzi wa rais wa Jumanne, ambapo Rais wa zamani Donald Trump alimshinda mrithi wa Biden, Makamu Rais Kamala Harris. Ameahidi kukabidhi madaraka kwa Trump, ambaye anachukua hatamu za uongozi, ambaye aliwashawishi wafuasi wake kuandamana hadi kwenye jengo la bunge wakati wajumbe walipokuwa wanarasimisha ushindi wa Biden 2020. Rais Joe Biden jana Alhamisi aliahidi kukifanya kipindi cha mpito cha mrithi wake Rais mteule Donald Trump kuwa na utaratibu mzuri. Pia ameomba umoja baada ya kushindwa kwa mgombea aliyempendelea, Makamu Rais Kamala Harris. Joe Biden, Rais wa Marekani: “Watu wamepiga kura na kuchagua viongozi wao, na walifanya hivyo kwa amani. Sisi tuko katika demokrasia, nia ya watu siku zote ndiyo inashinda.” Trump, katika hotuba yake ya ushindi siku moja kabla, pia alisisitiza umoja, wakati akielezea njia ya wazi miongoni mwa wapiga ambayo imempa yeye ushindi mzuri. #rais #donaldtrump #kamalaharris #wafuasi #voaelections #voaelections2024
Biden asema: '... Huwezi kuipenda nchi yako pale tu unaposhinda, ...'
- - MITINDO YA KIPWANI ››
- 24 Nov 2024 - Israeli strikes battered southern Lebanon and the outskirts of the capital Beirut on Friday, killing at least five medics, as ground troops clashed with Hezbollah fighters in the south.
- 24 Nov 2024 - Following the start of the termination process of the Adani Energy solutions and KETRACO deal, the government says it will only pay for verifiable costs or not paying the Indian conglomerate at all for not providing sufficient records for due diligence.
- 24 Nov 2024 - President Omtatah?: Senator forms team of six to explore 2027 State House bid
- 24 Nov 2024 - Controversial Adani deals expose impotence of MPs
- 24 Nov 2024 - Pension industry seeks to flex its muscle in large State projects
- 24 Nov 2024 - Behind-the-scenes rush as clock ticks for sale of Bamburi Cement
- 24 Nov 2024 - He wanted me dead, says woman stabbed 18 times by estranged lover
- 24 Nov 2024 - Knec says 621 KCSE candidates were involved in exam misconduct
- 24 Nov 2024 - Seed of betrayal: Kenyatta, Odinga fallout that shaped Kenya's political scene
- 24 Nov 2024 - Officer who locked couple's house for a week ordered to pay Sh700,000