Mashirika na viongozi kutoka kaunti ya Pokot Magharibi wataka serikali kukomesha maovu yanayotendeka

  • | NTV Video
    107 views

    Ongezeko la visa vya kutishia vya mauaji ya wanawake, ukakaji nyara, mauaji ya kiholela na watu kupotea nchini limezula malalamishi kutoka kwa mashirika ya kijamii na viongozi kutoka kazikazini mwa bonde la ufa ambao wanataka maovu hayo kukoma. Mashirika hayo na viongozi wanasema kuwa ni mihumu kuzipa mianya ambayo imewanyima haki waathiriwa na familia zaowengi wa waathiriwa ni vijana na wanawake kati ya miaka 18 -35kaunti ya Pokot Magharibi, imeripoti visa vingi vya mauaji.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya