Uchunguzi wa ‘Body by design’ | Wapelelezi wachunguza kifo cha Lucy Ng'ang'a

  • | Citizen TV
    2,595 views

    Maafisa wa upelelezi wamefika katika kituo cha Body By Design alikofanyiwa upasuaji Lucy Nganga na baadaye kufariki. Polisi wakikusanya ushahidi wa kuwasaidia kupata ukweli wa kifo cha mama huyo. Kwa mara ya kwanza wanaomiliki biashara hii wakijiwasilisha katika afisi za DCI