Watoto milioni 3.6 wachanjwa nchini dhidi ya polio

  • | KBC Video
    13 views

    Kampeni ya serikali ya kutoa chanjo ya polio ilimalizika leo ambapo watoto milioni 3.6 kati ya milioni 4.2 waliolengwa wakipokea chanjo hiyo. Katibu katika idara ya Afya ya Umma Mary Muthoni, alisema hii inawakilisha asilimia 86 ya walengwa huku akipuuza madai kuwa chanjo hiyo si salama kwa watoto. Wakati uo huo kamati ya kitaifa ya ushauri wa usalama wa chanjo imeyakosoa baadhi ya makundi ya kimataifa kwa kile wanachosema ni jaribio la kuzuia kampeni hiyo ya chanjo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News