Serikali yatafuta jawabu la umiliki wa ardhi ya Banita, Rongai

  • | KBC Video
    60 views

    Katibu katika wizara ya ardhi Nixon Korir amesema serikali inatafuta suluhu la kudumu kuhusiana na mzozo uliopo katika mpango wa makazi wa Banita huko Rongai, kaunti ya Nakuru. Korir ambaye aliandamana na mkurugenzi wa mpango wa makazi katika eneo hilo, Kennedy Njenga alisema mzozo huo umedumu kwa miongo mingi na lazima usuluhishwe katika kipindi cha siku 21 zijazo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive