Shuguli ya usajili inafanywa kericho

  • | Citizen TV
    241 views

    Wakaazi wa kaunti Kericho wameombwa kujiandikisha katika mfumo wa afya ya SHA ili waweze kupata matibabu ya haraka bila malipo.waziri wa afya katika kaunti ya kericho Brenda Bii amesema tayari vituo vya afya vimeweza kujiandikisha ili kutoa huduma kwa wanainchi. zaidi ya watu milioni 14 wamesajiliwa kwenye bima ya SHA huku Kaunti hiyo ya Kericho ikisajili Zaidi ya watu 151,586.