Hospitali ya Longisa imefanya mabadiliko kadhaa kufuatia kifo cha mtoto wa miaka 3

  • | Citizen TV
    182 views

    Hospitali ya Longisa imefanya mabadiliko kadhaa kwenye idara mbalimbali kufuatia kifo cha mtoto wa miaka 3 aliyefariki baada ya kudungwa na nyuki. maafisa wa matibabu katika hospitali hiyo wamelaumiwa kwa utepetevu uliosababisha kifo cha mtoto huyo. Aron kipkoech anaarifu kutoka Bomet.