Jaji mkuu Marth Koome ataka wakenya kutoingia uhuru wa idara ya mahakama

  • | NTV Video
    149 views

    Jaji mkuu Marth Koome amewataka wakenya kutoingia uhuru wa idara ya mahakama na kusisiza kuwa maafisa wa mahakama wanatekeleza kazi yao bila miegemeo ya kisiasa ama kijamii. Koome amesema kuwa umma umekuwa ukishambulia mahaama mara kwa mara inaposhughulikia maswala ya utawala wa sheria na kutoka haki kwa kesi mbalimbali. koome alisema hayo katika hafla ya kuzindua ripoti ya kila mwaka ya utendakazi wa idara ya mahakama na usimamizi wa haki ya kipindi cha sasa

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya