Kenya yafanya mkutano wake wa kwanza ili kupata uhalisia wa mambo kule COP29

  • | NTV Video
    7 views

    Kongamano la umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi yameingia siku ya tano, na kikosi cha Kenya kinaongozwa na katibu wa mazingira Festus Ng’eno, kufuatia kuondoka kwa Waziri Aden Duale, ambaye anatarijiwa kurudi Azeebaijan Jumapili hii. Kenya leo imefanya mkutano wake wa kwanza na wajumbe wake, kupata uhalisia wa mambo kule COP29.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya