- 588 views
Viongozi mbali mbali wakiwemo wale wa upinzani wameunga mkono semi za maaskofu wa kanisa katoliki waliokosoa utendakazi wa serikali. Maaskofu hao walitaja matamshi ya uongo, ahadi zisizotekelezwa, visa vya utekaji nyara na kuwekeza kwa mipango isiyo na maana kwa taifa kama changamoto kuu nchini. Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amesema matamshi ya maaskofu yanaangazia hali halisi nchini na kutaka serikali kutejeleza majukumu yake wala sio kuwazomea viongozi wanaolenga kuhakikisha uongozi bora nchini.
Viongozi wa upinzani waunga mkono maaskofu
- 16 Nov 2024 - Kalonzo alleges State of plan to use gene-editing jabs on livestock
- 16 Nov 2024 - Shock of staff who don't want to retire, take leave
- 16 Nov 2024 - Medics raise alarm as Kala-azar cases increase
- 16 Nov 2024 - Stick to the truth, State tells clergy over accusations of lies, corruption
- 16 Nov 2024 - Why every second counts: Court calls out KNH delay in emergency care as fatal error
- 16 Nov 2024 - Raila wades into county cash fray, warns of plan to 'kill devolution'
- 16 Nov 2024 - Mixed bag as Treasury's new tax plans go to the National Assembly
- 16 Nov 2024 - Leaders, experts demand overhaul of COP to address crisis
- 16 Nov 2024 - Cabinet doublespeak of growth on paper but struggles on the ground
- 16 Nov 2024 - NGO losses Sh3.2m battle against woman it sacked over pregnancy