- 70 viewsMAISHA NA AFYA: Lupus ni ugonjwa unaoshambulia mfumo wa kinga ya mwili, ambao husababisha mwili kushambulia tishu na viungo vyake. Ugonjwa huu sugu unaweza kusababisha kuvimba na maumivu katika sehemu yoyote ya mwili na unaweza kusababisha uharibifu mwilini kama vile ngozi au sehemu za maungo ya mwili. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
MAISHA NA AFYA: Tunamulika ugonjwa wa LUPUS ambao unashambulia tishu na seli zenye afya mwilini.
- 22 Dec 2024 - Mozambique's death toll from Cyclone Chido has risen to 94, news agency AFP said on Sunday, citing the country's disaster management agency.
- 22 Dec 2024 - Speaking to congregants in Naivasha on Sunday, Gachagua said the President’s decision to postpone his planned January trip to the vote-rich region reflects his reluctance to address mounting grievances from his supporters.
- 22 Dec 2024 - Israel ordered the closure and evacuation on Sunday of one of the last hospitals still partly functioning in a besieged area on the northern edge of the Gaza Strip, forcing medics to search for a way to bring hundreds of patients and staff to safety.
- 22 Dec 2024 - Former Agriculture Cabinet Secretary (CS) and Meru Senator Mithika Linturi has criticized President William Ruto's government for allegedly marginalizing the Ameru community from key national political decisions, including state appointments, despite…
- 22 Dec 2024 - According to the public security office of Rio Grande do Sul state, at least 15 people were taken to the city's hospital, most of them suffering from smoke inhalation caused by the fire triggered by the crash.
- 22 Dec 2024 - Kisumu Central Sub-County Police Commander Peter Mulai said the teenagers were found in possession of bhang, cigarettes, and khat during the raid. According to Mulai, nearly 100 youths were at the party, but several managed to escape as police conducted…
- 22 Dec 2024 - Kisumu Central Sub-County Police Commander Peter Mulai said the teenagers were found in possession of bhang, cigarettes, and khat during the raid. According to Mulai, nearly 100 youths were at the party, but several managed to escape as police conducted…
- 22 Dec 2024 - Among the policies that Kenyans are resisting is the alleged plan to vaccinate cattle because they produce methane gas when they fart.
- 22 Dec 2024 - They were approached by the driver of a private car offering them a lift to their destination
- 22 Dec 2024 - 768 people were injured and more than 622,000 people affected by the natural disaster in some capacity