- 64 views
Wasafiri sasa watapata huduma za ndege za safari za moja kwa moja hadi jijini Kuala Lumpur Malaysia, kutoka jijini Nairobi kufuatia kuzinduliwa kwa ndege ya gharama nafuu ya Air Asia. Waziri wa utalii Rebecca Miano amesema ndege hiyo itasafiri mara 4 kila juma kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta-JKIA, hatua ambayo itapiga jeki sekta ya utalii ya taifa hili na kupanua soko lake usafiri wa angani hadi eneo la Asia. Kenya inatarajia kupokea zaidi ya watalii milioni-3 kufikia mwisho wa mwezi Disemba mwaka huu.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Ndege ya Air Asia kuanza kusafiri nchini
- 17 Nov 2024 - Georgians protested on Saturday as the poll commission rubber-stamped the ruling party's victory in a controversial parliamentary vote marked by claims of Russian meddling and Western calls to investigate fraud allegations.
- 17 Nov 2024 - Being an expert on global warming from an African nation prone to disaster can depress Joyce Kimutai during the creaking COP climate summits, where politics often drowns out science.
- 17 Nov 2024 - Ten newborn babies died from burns and suffocation after a fire swept through a neonatal intensive care unit in northern India, a government official said on Saturday.
- 17 Nov 2024 - Report shows men dominate criminal cases as women lead in civil suits
- 17 Nov 2024 - Political rivals in their best behaviour when they meet in Church
- 17 Nov 2024 - US envoy exits, praised by Ruto but censured by State critics
- 17 Nov 2024 - Why the IMF is not doing enough to support Africa
- 17 Nov 2024 - Kidero, Raila's sister lead Ruto loyalists in State appointments
- 17 Nov 2024 - Is it a wave of change or accidental windfall as incumbents lose hold?
- 17 Nov 2024 - ODM intensifies bid to strengthen party amid fresh sibling rivalry