FIDA na KELIN zataka haki za kimsingi kuzingatiwa

  • | Citizen TV
    237 views

    Muungano wa mawakili wanawake FIDA pamoja na Shirika la kutetea haki za wanaoishi na virusi vya ukimwi KELIN limeitaka serikali kuzingatia haki za kimsingi za afya kwa wote katika utekelezaji wa Bima mpya wa afya wa SHIF.