Mila potovu bado ni kikwazo kikuu kwa elimu ya mtoto msichana

  • | KBC Video
    21 views

    Wataalamu, wasomi na waandishi wa vitabu katika eneo la Kaskazini mwa Kenya wamehimizwa kuunga mkono kikamilifu elimu ya mtoto msichana wakisema hatua hiyo itachochea maendeleo katika eneo hilo. Wataalamu hao wamesema kuwa kutokana na tamaduni zisizofaa, wasichana wana kila fursa ya kujitosa katika uandishi wa vitabu kuhusu matatizo ya kiakili na uhamiaji haramu katika eneo la Kaskazini mwa Kenya. Walisema hayo jijini Nairobi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha ‘I can, the Girl from North’ kilichoandikwa na Taslima Mohamed kutoka kaunti ya Mandera.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive