Ifahamu China: Magari yanayotumia umeme nchini China

  • | KBC Video
    5 views

    Uzinduzi wa magari yanayotumia umeme nchini China umevuka kiwango cha magari milioni 10 kwa mwaka na kufanya nchi hiyo kuwa ya kwanza duniani kufikia kiwango hicho cha utengenezaji magari hayo, Takwimu hizi zimetolewa na shirikisho la Watengenezaji Magari nchini China. Maelezo zaidi ni kwenye makala yetu kuhusu Ifahamu China.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive