- 168 viewsUshawishi wa wanawake katika uongozi, Tanzania ni nchi pekee yenye rais mwanamke katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wakati huo huo Uganda Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wote ni wanawake, na nchini Kenya wanawake wanashikilia nyadhifa muhimu za ugavana. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
JARIDA LA WIKIENDI: linaangazia ushawishi wa Wanawake katika uongozi Afrika Mashariki
- 19 Nov 2024 - The Sambaza Furaha na Safaricom caravan entered its second day in the Mt. Kenya region, with stops in Othaya, Mukurweini, Karatina, Gatitu, Giakanja, and winding down in Nyeri Town.
- 19 Nov 2024 - The Court of Appeal has dealt a blow to a faction of Jubilee Party officials seeking to challenge the leadership of retired President Uhuru Kenyatta.
- » RMS Journalist Anne Nyathira, Eric Omondi, AMREF Health CEO Gitahi among nominees for 2024 NGO Awards19 Nov 2024 - Royal Media Group journalist Anne Nyathira is among five reporters who have been nominated for the Best Journalist in Coverage of Non-Governmental Organisations (NGO) category at the inaugural NGO Awards 2024.
- 19 Nov 2024 - Machakos County Attorney, Advocate James Kathili, has explained the reasons behind his resignation from the Machakos County Government.
- 19 Nov 2024 - President William Ruto has officially bid farewell to outgoing U.S. Ambassador to Kenya, Meg Whitman, who recently handed in her resignation to President Joe Biden.
- 19 Nov 2024 - It is no secret that President William Ruto rode to power on lofty promises of uplifting the common mwananchi and pulling the country from the risk of debt distress under his Bottom Up Economic Transformation Agenda (BETA).
- 19 Nov 2024 - Laikipia Senator John Kinyua is the first major casualty as the purge of former Deputy President Rigathi Gachagua’s allies begins in Parliament.
- 19 Nov 2024 - The National Assembly Committee on Cohesion and Equal Opportunities has resolved to conduct an inquiry into alleged malpractice within the Office of the Auditor General (OAG). The inquiry aims to investigate claims of corruption, abuse of office,…
- 19 Nov 2024 - Tanzania qualified for next year AFCON finals after pipping Guinea 1-0 in their final Group H match played on Tuesday evening at the Benjamin Mkapa Stadium.
- 19 Nov 2024 - Lamu East MP Ruweida Obo has demonstrated exemplary integrity by officially registering gifts she received from 99 dockers in Lamu County, setting a precedent for compliance with public service ethics. The dockers, who recently secured permanent and…