Serikali kutumia shilingi bilioni-1 kujenga vyoo katika kaunti 13

  • | KBC Video
    28 views

    Serikali imetenga shilingi bilioni-995 zitakazotumika kufadhili utekelezaji wa miradi ya maji na usafi humu nchini ambayo inatarajiwa kukamilishwa kufikia mwaka-2030. Waziri wa maji, usafi na unyunyiziaji mashamba maji mhandisi Erick Murithi amesema wizara hiyo itatenga shilingi bilioni-1 kutoka kwa hazina hiyo ili kushughulikia tatizo la watu kwenda haja kubwa katika maeneo wazi katika kaunti-13. Mwanahabari wetu Opicho Chemtai na kina cha taarifa hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive