- 13 views
Bunge la kitaifa linapanga kupitisha mswada utakaotoa nafasi ya kuongezwa kwa malipo ya uzeeni kwa wafanyakazi wote wa serikali waliostaafu kuambatana na gharama ya juu ya maisha. Muswada huo uliowasilishwa mbele ya kamati ya bunge kuhusu ulinzi wa jamii pia unanuiwa kutumia mshahara wa mwisho wa mfanyakazi kama msingi wa ukokotozi wa malipo ya wale waliostaafu. Wizara ya fedha hata hivyo, imeliomba bunge kusitisha kwa muda mchakato wa muswada huo ili kutoa nafasi kwa wizara kukamilisha uchunguzi wa malipo hayo, yatakayotekelezwa kufikia mwisho wa mwezi Disemba.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Bunge lakadiria mswada kuongeza kiwango cha malipo ya kustaafu
- 20 Nov 2024 - Ukraine used U.S. ATACMS missiles to strike Russian territory on Tuesday, taking advantage of newly granted permission from the outgoing Biden administration on the war's 1,000th day.
- 20 Nov 2024 - The United Nations Humanitarian Air Service will restart flights within Haiti on Wednesday after around a week's hiatus and resolving regulatory issues, according to a statement from the U.N. World Food Programme, which manages the service.
- 20 Nov 2024 - Kenya has officially enacted legislation banning the manufacturing, importation, and use of plastic bags, marking a significant step in the country’s efforts to combat plastic pollution.
- 20 Nov 2024 - The daughter of the French man standing trial for enlisting dozens of strangers to rape his heavily-sedated wife on Tuesday clashed with her father at his trial, shouting in the courtroom that he would "die in lies".
- 20 Nov 2024 - You will be put to shame, Ruto tells critics
- 20 Nov 2024 - Dusit attack linked to foiled attack on KICC, Parliament, court told
- 20 Nov 2024 - President Ruto defends university funding model
- 20 Nov 2024 - Use the proposed taxation Bill to ease high cost of living, MPs told
- 20 Nov 2024 - Purge against Rigathi Gachagua starts in earnest as 300 workers fired
- 20 Nov 2024 - Clergy turn up the heat amid debate on Ruto's rejected millions