Rais Ruto asema wanaokosoa serikali huenda wakaibika

  • | K24 Video
    90 views

    Rais amewaambia wakosoaji wa utawala wake watathibitishwa kuwa kwenye makosa matokeo ya utendakazi wa serikali yake yatakapojitokeza na ahadi alizotoa kwa wakenya kutimia. Wakati wa kutia saini mikataba ya utendakazi wa mawaziri katika ikulu, rais alisisitiza kwamba kila waziri atawajibika kwa utendaji wa wizara yake, huku zawadi na adhabu zikitekelezwa mwishoni mwa mwaka wa kifedha, hatua hiyo inafuata ukosoaji mkali kutoka kwa makundi mbalimbali, yakiwemo makanisa, kuhusu usimamizi wa serikali juu ya masuala muhimu.