Msimamo wa katoliki wazidi kuungwa mkono

  • | K24 Video
    123 views

    Matukio ya hivi karibuni kuhusu uamuzi wa kanisa katoliki kurejesha mchango uliotolewa na rais William Ruto yanaendelea kuonyesha uhusiano unaozorota kati ya viongozi wa dini na serikali. Viongozi wa dini, ambao wamekuwa na mchango mkubwa katika siasa za Kenya, wanaonekana kutofurahia mwelekeo wa taifa hasa kuhusu uongozi unavyoendeshwa