Wawakilishi wa bunge la kaunti ya Kisii wazua kizaazaa baada ya moja wao kuzuiliwa na DCI

  • | Citizen TV
    437 views

    Kizazaa kilishuhudiwa mapema leo katika makao makuu ya DCI mjini Kisii baada ya polisi kumzuilia mwakilishi mmoja mteule wa bunge la Kisii kwa jina GAUDENSIA Omariba "Brenda" na kumtaka kuandikisha taarifa na idara hiyo kuhusiana na uvamizi uliotekelezwa katika ofisi ya mwakilishi wa kike jumanne jioni.