Kesi ya kupinga utozaji kodi wa mashamba katika kaunti ya Kajiado yaahirishwa

  • | Citizen TV
    537 views

    Mahakama ya Kajiado imeahirisha uamuzi wa kesi iliyonuia kusitisha Serikali ya kaunti ya Kajiado kutoza wamiliki wa Ardhi Kodi mpya kwa mashamba ambayo hati miliki zao ni za free hold. Inaarifiwa uamuzi huo haukua tayari kutolewa Leo na sasa Jaji wa mahakama ya mazingira na Ardhi kwenye mahakama hiyo Loice Komingoi amesema atatoa uamuzi huo tarehe nne mwezi ujao.