Wahudumu wa matatu waafikiana na kaunti

  • | Citizen TV
    722 views

    Wamiliki wa Matatu wamefikiana na Serikali ya Kaunti baada ya kuanza mgomo jana jioni.Kulingana na wasimamizi wa Sacco zote kaunti hiyo, wameweka mikakati Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti ili kuwaruhusu kufanya kazi zao bila unyanyasaji.