Mgogoro wa maji Syria: 'Maji yana thamani zaidi kuliko dhahabu hapa'

  • | BBC Swahili
    24 views
    Huko Hasaka, Kaskazini mwa Syria, zaidi ya watu milioni moja hawana maji wanayopata moja kwa moja katika makazi yao. Maji yote lazima yaingizwe na magari kutoka kwenye visima karibu kilomita 25. Visima hivi pia vinapungua. BBC Eye inaongea na wafanyakazi wa Bodi ya Maji wa jiji hilo na madereva wa malori yanayobeba maji ambayo kila mtu anawategemea. #bbcswahili #syria #mabadilikotabianchi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw