Shughuli ya kukamilisha mkataba kati ya kampuni ya Adani na Ketraco yaanza

  • | Citizen TV
    630 views

    Shughuli ya kukamilisha mkataba kati ya kampuni ya Adani na ile ya serikali ya kusambaza nguvu za umeme ya KETRACO imeanza huku serikali sasa ikisema italipia gharama za utafiti na ukaguzi wa mradi. Meneja Mkuu wa KETRACO John Mativo hata hivyo anasema kuwa, wanasubiri ripoti ya ukaguzi kubaini iwapo kuna gharama zozote za kulipwa.