Mashirika ya kijamii waitaka serikali kupunguza madeni

  • | KBC Video
    8 views

    Baadhi ya mashirika ya kijamii yameibua tahadhari kuhusiana na kile walichotaja kuwa kiwango cha juu cha deni la taifa humu nchini. Mashirika hayo ya kutetea haki za kibinadamu yamefichua kwamba deni la taifa limeongezeka maradufu huku kukiwa na ukosefu wa uwazi na uwajibikaji kinyume na kanuni ya katiba kuhusu usimamizi wa fedha za umma.Na jinsi mwanahabari wetu Timothy Kipnusu anavyotuarifu mashirika hayo yamehimiza bunge kusitisha mchakato wa kuidhinisha pendekezo la mikopo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive