Wahudumu wa afya wahimizwa kuzingatia kanuni

  • | Citizen TV
    156 views

    Wahudumu wa afya katika kaunti tano za bonde la ufa wamehimizwa kuzingatia kanuni zilizowekwa wanapohifadhi na kusafirisha oksijeni ya matibabu hospitalini ili kupunguza visa vya ajali vinavyohusisha mitungi ya oksijeni.