Makundi Mbalimbali ya Wakenya yazidi kutoa maoni yao kuhusu mapendekezo ya sheria za ushuru

  • | Citizen TV
    256 views

    Makundi Mbalimbali ya Wakenya Yanazidi Kutoa Maoni yao Kuhusu Mapendekezo ya Sheria za Ushuru Huku Wengi Wakilalamikia Kuongezeka Kwa Mzigo wa Ushuru. Wadau hao Wanasema Kuwa Pesa Nyingi Zinapotea Kupitia Ufisadi Huku Wananchi Wakiteseka Kulipa Ushuru.