Utafiti wafanywa kuhusu usalama wa wahudumu wa afya

  • | Citizen TV
    278 views

    Utafiti wa Chuo Kikuu cha Aga Khan umebaini kuwa kuna haja ya kuweka mikakati ya kuwalinda wahudumu wa Afya wa kike Kwa Kushughulikia changamoto maalum za kijinsia wanazokumbana nazo wakiwa kazini.