Wazazi watakiwa kufika kwenye kliniki kukabili hatari ya watoto kufariki kutokana na ugonjwa wa moyo

  • | Citizen TV
    302 views

    Wanawake waja wazito na wazazi wenye watoto wachanga wanashauriwa kufika kwenye kliniki za uzazi na kutafuta huduma za madaktari wa watoto ili kukabili hatari ya watoto kufariki kutokana na ugonjwa wa moyo. Madaktari wanasema kuwa uchunguzi wa mapema unaweza kuokoa maisha ya maelfu ya watoto ambao wanazaliwa na ugonjwa wa moyo.