Mshukiwa wa ulaghai wa ardhi kaunti ya Mombasa afikishwa kotini

  • | Citizen TV
    2,005 views

    Mshukiwa wa ulaghai wa ardhi kaunti ya Mombasa amefikishwa kizimbani kwa madai ya kutumia stakabadhi ghushi kunyakuwa kipande cha ardhi eneo la Nyali mombasa.