Serikali ya Makueni yadhibiti maafa ya mama wajawazito

  • | Citizen TV
    187 views

    Serikali ya Makueni imepiga hatua kubwa ya kukabiliana na vifo vya wanawake wanapojifungua kwani haijarekodi kifo hata kimoja cha mwanamke kutokana na kuvuja damu kwa wingi kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita.