Adani anataka kuondolewa kutoka kwenye kesi

  • | Citizen TV
    1,538 views

    Kampuni ya Adani sasa inaitaka mahakama kuwaondoa kutoka kwenye kesi iliyowasilishwa mahakamani, ikisema haijapokea ripoti zozote kuhusu kubatilishwa kwa mikataba kati yake na serikali wakili wa adani ezra makori amesema kuwa ni jukumu la mwanasheria mkuu kuwasilisha pendekezo hilo mbele ya majaji baada ya rais william ruto kutangaza kusitisha mpango huo. Hata hivyo kinara wa wiper kalonzo musyoka aliyeandamana na mawakili kadhaa mahakamani ameitaka mahakama kuendeleza kesi hiyo hadi tamati.