Serikali yaagizwa kuweka wazi mikataba tata ya Adani

  • | KBC Video
    19 views

    Mahakama Kuu jijini Nairobi imeamuru serikali kufichua yaliyomo kwenye mikataba ya Adani licha ya mikataba hiyo kutupiliwa mbali. Katika uamuzi uliotolewa na Jaji Bahati Mwamuye hii leo, serikali imeagizwa kutoa ushahidi wa nyaraka kwamba mikataba hiyo imefutiliwa mbali, huku kampuni ya Adani Group ikitaka kujiondoa kutoka kesi hiyo baada ya mikataba hiyo kutupiliwa mbali. Mwandishi wetu Joseph Wakhungu anatueleza zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive